Special thread: Kwa waliosoma shule moja na viongozi mbali mbali tukutane hapa kujua vituko vyao shuleni

Mm nimesoma shule aliyosoma Rais wa zanzibar Dr. Ali mhamed shein alikua mcheshi na mwanariadha wa kupigiwa mfano ktk mashindano,Maalim seif Sharif Hamad pia alikua mcheshi na mpenda watu Mh. Juma duni Haji, Mh. Fatma fereji na wengineo
 
Mie nimesoma na Lowasa,alikua mwizi balaa!!
Mkuu acha unaa,kwani huyu mzee alikuibia nini na mbona hujampelwka mahakamani? Si mlisema yeye ni fisadi mkuu na mkaanzisha mahakama ya mafisadimimi naiita kangaroo court mbona msimpeleke huko? Miaka nenda rudi,mnaiba wee bado mnamstigmatize huyu mzee,tumechoka na hayo maneno zenu.
 
Wewe ulikuwa mlalafi ndo maana akakutia vitasa.
 
Ha ha ha, Mtatiro alikuwa kiongozi wa Mambo ya Mikopo UD, jamaa alikuwa anapenda issue za migomo sana, yaani yeye utatuzi wake wa swala lolote ni mgomo tu.

Mtata sana yule jamaa, sikuwahi kumshuhudia akicheka.
Nafikiri hiyo mtatiro ukitoa harufi za mwishoni /IRO/ afu ukaweka /A/ inakuwa MTATA. Haya usiulze tena kwanini anapenda migomo
 
Mkuu anzisha Uzi Wako kuhusu Lowasa,hapa uzi huu unahusu mtu uliyesoma na kiongozi na vipi tabia yake akiwa shule enzi hizo,so mie nilisoma na Lowasa na alikua mwizi wa madawati na chaki!!
 
Mm nimesoma shule aliyosoma Rais wa zanzibar Dr. Ali mhamed shein alikua mcheshi na mwanariadha wa kupigiwa mfano ktk mashindano,Maalim seif Sharif Hamad pia alikua mcheshi na mpenda watu Mh. Juma duni Haji, Mh. Fatma fereji na wengineo
Vema sana umechangia tukajua, SAWASAWA
 
Mkuu anzisha Uzi Wako kuhusu Lowasa,hapa uzi huu unahusu mtu uliyesoma na kiongozi na vipi tabia yake akiwa shule enzi hizo,so mie nilisoma na Lowasa na alikua mwizi wa madawati na chaki!!
Aisee
 
Mimi nilisoma na makonda lakini sio huyu mkuu wa mkoa, makonda alikuwa na akili sana darasani, chakushanganza eti alimuuzia vyeti Albert bashite
Daah.....angekuuzia wewe, saa hizi ungekuwa Mh. Balozi !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…