mlekulechoma
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 1,366
- 1,059
Secondary gani mkuu?mwaka gani?Nilisoma na Julius Mtatiro, alikuwa kiongozi wa chakula alafu mtata kweli yule mkurya. Alikuwa akimdate dada mmoja anaitwa Grace na ilijulikana hadi na walimu ila hata hakufanywa lolote. Sijui ndio alikuja kumuoa!!