Special thread: Kwa waliosoma shule moja na viongozi mbali mbali tukutane hapa kujua vituko vyao shuleni

Special thread: Kwa waliosoma shule moja na viongozi mbali mbali tukutane hapa kujua vituko vyao shuleni

Lowasa anarohonzuri saana .ungekuwa hata mpambe wake mpaka Leo ungemiliki kamahiyo .
Hiyo velar si ndio?
Alafu unajua mimi na Lowasa ni damu damu?mie ndiye namchungia ng'ombe wake huku Monduli basi kama ulikua hujui!
 
Nilisoma na Julius Mtatiro, alikuwa kiongozi wa chakula alafu mtata kweli yule mkurya. Alikuwa akimdate dada mmoja anaitwa Grace na ilijulikana hadi na walimu ila hata hakufanywa lolote. Sijui ndio alikuja kumuoa!!
Kuna siku kule kwenye special thread uliniuliza dogo hujambo,nikashangaa,kumbe ulikuwa sahihi [emoji1]
 
Dah kumbe kufoji mmeanza kitambo Lumumba. Anyway mi nilisoma na kingunge, alikuwa anakuja na ngozi ya mkia wa mbuzi siku ya mtihani ili kupigia mstari kwenye mtihani mana alikuwa ameinyoosha ngozi ile na kuikausha kama rula,
Kingunge huyu msemaji wa. Chadema au
 
Rtd General Davis Mwamunyange......Mawenzi Secondary School:1967 to 1970.
Alikuwa mpole na kichwa yake imejaa vitu....ni namba moja tu miaka yote hiyo,hajawahi kuwa wa pili.
Hekima na busara tokea shule alikuwa nazo.
Dah shikamoo bi mkubwa
 
Kuna kiongozi mmoja sitamtaja alikuwa anaoga amejificha kisa Ana ****** , sasa tukamvizia kwamba kwanini yeye huwa anajificha wakati wa kuoga?

Au anasubiri tumemaliza ndo anakuja kuoga,

Ndo tukagundua hayo,

Lakin bahati nzuri ilikuwa mtu social sana na anajiweza darasani na alikuwa anapendwa sana na walimu,

Salamu zuwafikie mtama,
 
Namsubiri aliyesoma na "mkuu wa mkoa" atoe ushuhuda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom