Special thread: Kwa waliosoma shule moja na viongozi mbali mbali tukutane hapa kujua vituko vyao shuleni

Special thread: Kwa waliosoma shule moja na viongozi mbali mbali tukutane hapa kujua vituko vyao shuleni

Is true kwa upande wangu sikusoma naye Hussein mwinyi ila nimebahatika mwaka 1982 kuwa nalinda kwao baada ya kutoka JKT , kwasababu mwanzo kabisa nilipangwa kigoma, baada ya kumaliza PUGU,lakin matokeo yakaja ya kidato cha sita nikawa nime pass kwa kiwango cha juu mno, watu 72 tu ndo tulichaguliwa kwenda chuo kikuu, nikapangwa dar es salaam nikisubiri muda wa kujoin chuo lakin nikawa bado kambini, mwanzo nilipelekwa wazo kulinda mashine ya maji, baadae nikahamishiwa kwa mzee MWINYI akiwa waziri, nikawa nalinda pale getini wanakuja nawafungulia ,

Nadhani kama mdogo wangu Hussein Mwinyi atapita hapa atakumbuka nimemsaidia sana hesabu akiwa anarudi toka shule by that time alikuwa form three nakumbuka, namsaidia hesabu,

Ila nikachaguliwa kusoma chemical and process engineering UDSM, tumeachana hivyo lakin mzee MWINYI akaja kunikuta sehem Fulani akauliza kwanini hatukuendelea kuwasiliana,
 
Mkuu acha unaa,kwani huyu mzee alikuibia nini na mbona hujampelwka mahakamani? Si mlisema yeye ni fisadi mkuu na mkaanzisha mahakama ya mafisadimimi naiita kangaroo court mbona msimpeleke huko? Miaka nenda rudi,mnaiba wee bado mnamstigmatize huyu mzee,tumechoka na hayo maneno zenu.
Shuleni secondary. Alikuwa. Ilboru.
 
Nafikiri hiyo mtatiro ukitoa harufi za mwishoni /IRO/ afu ukaweka /A/ inakuwa MTATA. Haya usiulze tena kwanini anapenda migomo
Julius ( mkristo) mtatiro ( Mkurya) Mbona ana sigda pajini? Alinunua jina. Jina la katikati la kike ( nyumba ntobu)
 
Mie nilisoma na Nape Nnauye jamaa alikua kilaza sana; yeye kila homework ni kucopy na kupaste kutoka kwa mabest wake. Halafu jamaa alikua kwa kula ni balaa, anaweza maliza ugali wa mtu tatu bila tatizo lolote. Hilo umbo lake sio afya ni kula.
Je sifa yake
 
Back
Top Bottom