Watoto wa mama Salma [emoji849]
Kama nawe ni wa huko unastahili
Kuna wa baba wadogo ama ma binamuSijisifii lakini kiukweli Nina dada wazuri Sana bahati nzuri tu wote wameolewa ningekupa hata zawadi wawili
Huu uzi ungenoga ungetupiamo hata kapicha π
Munyampaa MunaWanyampaaaa
Ofisi ya chama mkoaTuambie vivutio tuje kutalii.. sijawahi kufika Singida.
ukila haya vijambo vyake sasa...utaweza hisi kuna Genereta kwa jiraniMakukuru.mahanguuView attachment 1050015
@ DemissNi kweli nyie wakaka wa singinda wakarimu kwa kila kitu
Dallas ya kitambo kidogo.kiingilio jero wanawake bureViwanja vyetu enzi hizoo unatoroka home mnapita kule singidani mnatokea Club 77 ya KBH pamoja na watoto wa uhasibu na utumishi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimetamani
WakutoshaTuambie vivutio tuje kutalii.. sijawahi kufika Singida.
Maziwa=mayaa/mahungaaSikupata Mshua anaependa kabila lake maskini ya Mungu nikiendaga ULYAMPITI natoa toa tu machoooo hadi leo na ukubwa huuu najua Chumvi tu "munyuuuu" sjui nmepatia