Special Thread: Kwa Wazawa wa Singida tukutane hapa

Nimeshindwa Mlenda tu BWANA hata kwa viboko hunilishi...sema Wadada wa DAR wakikutana na Mkaka wa singida PURE alotoka kule show yake si ya kitoto maana vyakula vya kule Hartari tupuuuuuu...Hamnaga mnyaturu ana ukosefu wa Nguvu za Kiume HAIPO HIYO
Asante Sana
 
Hapo sky way club ni pakisure sana utadhani sio singida, tumepita sana hapo sidhani kama kuna dere wa lori ambae ajapita hapo kulikua na watoto wa chuo wa kumwaga ni kushika mkono na kuzama nae kwenye cabin.
Wale tulikuwa tunatalii KBH bila kusahau sky way night club madereva maroli kama woteee

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ahsante.
 
Weka na Matogo!

Ingawa Wahadzabe hujatuunganisha kama sehemu ya wakaazi wa Mkoa wa Singida Wilaya ya Mkalama!
Nawatambua Sana mkuu pande zenu Ni kule karibu na hdyom.sanasana Mimi nimeishia mjini Kati tu na singida vijijini..kwingine huko Mara Moja Mara moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…