Kiukweli siwezi kukudanganya hatuna vivutio vingi
Geographical tumepitiwa na bonde la ufa kutokea manyara linapita bondeni mpk kule mgori..
Natural attraction sio nyingi nachojua Kuna mapori ya hifadhi mbuga inaipita karibu na mpk wa kuingia mbeya huko wilayani manyoni..
Water bodies Ni chache kwa bonde la Kati internal drainage hakuna mto unaotiririsha maji mwaka mzima yote Ni seasonal kasoro miwili TU river kou ambao upo upande wa mbulu..tuna mabwawa mawili mjini Kati singidani na kindai ambayo hayatoi samaki wengi..
Mlima hanang upo kateshi ila view yake nzuri ukiwa sgd unaiona
Wanyama tuna fisi wapo wengi ndo ambao nimewaona Sana nje ya mji kidogo..mji umezungukwa na majabali makubwa wenyeji tunayaita n'gongo