Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,453
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Demiss
Ndegejohn mpandiiii [emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
sasa hv demis hauwezi kulaaaView attachment 1054371
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimezaliwa singida mjini nimesoma shule ya msingi Mughanga hapo hapo singida mjini.secondary nikasoma hapohapo singida mjini shule za kata alizotuchangia Sana mbunge dewji. high level nikasoma pia hapo hapo singida shule Moja inaitwa ilongero mwisho chuo nikaja nikasomea dar.so nauelewa mkoa wa singida wote,mitaa yote kuanzia minga,karakana,kititimo,Mungumaji,mwenge,stand mpya,misuna,stand ya zamani,kibaoni,majengo,soko kubwa,mji wa zamani,ginnery,sabasaba,mtipa,unyankindi,mitunduruni,Yugo,mnada wa zamani,maduka Saba,ukombozi,sokoine,mandewa na Mitaa yote hunidanganyi,mang'ongo yote na majabali yote ya hapo mjini nayajua
Naujua mji vizuri kwa sababu wale wakina sele ndovu watoto wa chief senge wa pale utemini Ni mabraza zangu ukoo mmoja na kina tajiri mkulima wa kisasida,kipindi tunakua tulikuwa tunatembea nao sana.kwa mtu yoyote aliyekulia singida lazima awajue wakina sele ndovu jamaa ni mkubwa Sana kaenda hewani alipewa Hadi kibali Cha kuwinda porini.amekimbiza Sana miaka ya nyuma hapa pale mkoani wapo watu wengine maarufu Kama kina idada,malingumu,akwii,n.k
Matajiri wengi wa mkoa wa singida Ni wachaga ndio wenye madukwa makubwa makubwa pia hata wenyeji wanyaturu tunamiliki viwanda vya kukamua alizeti
Singida tunakunywa Sana mbege maeneo ya mwenge,mtukuru unapatikana maeneo mengi ikiwemo daima bar na kule kibaoni ndio Chaka la wahuni wote wanakunywa gongo na pia highlife inafanya vizuri sana,sigara tunazotumia Ni Winston na safari na club.msela akinywa bia amekunywa eagle na nzela banana zinafanya vizuri Sana.ukija kuanzia karakana na majengo wanapenda Sana gomba kutokea arusha Yale ma bus yanaingiza mzigo wa mrungi mapema TU saa nne au sa tano. karibu kila kijana anakula dawa wenyewe tunaita kamchongo ugoro.
Nyama pia tunakula Sana kila juma mosi tunaenda njiapanda kula nyama mnadani.matunda yetu sanasana Ni furu,mapera,malala(zambarau),sasati,lade na matogo kutokea nje ya mji au vijijini huko.mayai ya kienyeji yapo ya kutosha ukiomba ukusanyie Ni shilingi Mia mbili tu yai moja.kuku usiulize kutokea mgori au makiungu utapata kuku wa kutosha tu.
Kwa sasa hatuna viwanja vingi vya starehe tuna KBH Ipo singidani.tuna night club kwa nyokaa iko hapa stand ya zamani.sehemu za starehe Kuna Cheyo bar, mbacho, kirima bar, Serengeti, scene lodge, kwa super kitasa kitimoto ya ukweli
Kwa upande wa michezo tuna vipaji vingi Sana hasa kwenye riadha.Alphonse mwanariadha aliyepeperusha mbendera ya Tanzania na kushika nafasi ya tatu London mwaka Jana anatokea mampando tarafa ya mungaa wilaya ya ikungi.wapo wengine wengi pia timu ya singida ilifanya vizuri ilipocheza hapa Kenya.mpira wa miguu bado TUnajivuta.mpira wa wanawake unafanya vizuri Kuna vipaji sana.tuna singida United ipo ligi kuu lakini iko taabani
Kwenye upande wa siasa..kiukweli sgd Ni ngome ya CCM..kwa mfano uchaguzi wa ubunge Jimbo la singida mjini aliloliacha mo dewji mpinzani alipata kura 5000 TU wakati wa CCM alipiga kura zaidi ya 50000.vijana wengi hawana mwamko na Mambo ya siasa
Kwenye upande wa elimu tuna shule maarufu Kama mwenge high school ya advance level..nyingine za shule ya msingi maarufu Ni nyerere, Mughanga,ipembe,sumaye,misuna, sekondari pia zipo kila kata
Afya tuna hospital mpya ya rufaa iko mandewa nje kidogo ya mji
Mji unakuwa Sana hasa maeneo ya kititimo na mungumaji.kuelekea na puma mji haukui Sana
hayo Ni kwa uchache sana kuhusu mkoa wangu wa singida Kama una swali lolote kuhusu mkoa wa singida uniulize hapa
Sasa mnyampaaa huko dom kimbia mkuu...Unataka kina nani sasa? au wale wa CHATO (ila wale huwaezi)Nipo Dom wagogo wanapenda umarioo nakwambia alafu ombaomba hata siwatak nipo zangu single mpaka nihame mkoa
Sent using Jamii Forums mobile app
cha kufanya uje dar huku wanyampaa kina sisi tuliochovya hatuna shida saaaaanaaa...Unaweza ukatufkiria labda😉😉Nipo Dom wagogo wanapenda umarioo nakwambia alafu ombaomba hata siwatak nipo zangu single mpaka nihame mkoa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kukataa nako sio kuzuri......sema kama mimi ndo staki kbsa unkatae Bora unkatalie kunipa Naniiii ila ile first time we nikikwambia Nimekuelewa ntataka nawewe unielewe tu..
aiyaaaaaa hao ni wa kule itigi,ulyampiti,ikungi ila sisi wa DAR mbona hatuna fujo hizo tuko kama watanga TUUKweli kabisa hata kama hana hela ila ni smart sana ila sasa kitandani wanajua kutukomesha wanyaturu wamejaliwa mm siwataki kabisaa mtu ana bololoo kama mkono wa mtoto agrrrrr
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuona mtani wangu naona mmetubagua sie wa Iramba na kakaakoNipo hapa mtoto wa Fd4ceeee kama unaelekea manguanjuki kwa mzee miti matreeee mzeee ya fd4ceee
Sent using Jamii Forums mobile app
Afadhali nimepata kaka maana naona wamejazana hawa kina mbojot uMe iramba moja mtekente kwenye ndalu na nsanzu sema mie chotara mzee mnyilamba yaani lyanga clan na usukumani ni kwa mama angu yaani dutwa clan
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mnyampaaa huko dom kimbia mkuu...Unataka kina nani sasa? au wale wa CHATO (ila wale huwaezi)
cha kufanya uje dar huku wanyampaa kina sisi tuliochovya hatuna shida saaaaanaaa...Unaweza ukatufkiria labda😉😉
Kukataa nako sio kuzuri......sema kama mimi ndo staki kbsa unkatae Bora unkatalie kunipa Naniiii ila ile first time we nikikwambia Nimekuelewa ntataka nawewe unielewe tu..
aiyaaaaaa hao ni wa kule itigi,ulyampiti,ikungi ila sisi wa DAR mbona hatuna fujo hizo tuko kama watanga TUU
tupo wavamiaji mji Ukifika tu Pale mataaa niambie KAKA nimekujaaaa JIJINI njoo nichukueee
unakataaa kina Ngosha ukutane na shombe shombe la tabora au singida Lishauza kuku wake....unakatalia wapi kwa mfano
Kweli asee rode penyewe hapo hapadanganyi
Hilo ni kiss kwa sisi wanyaturu...wale wa DAR wanajua wenyewe ni kitu gani hiyoo