kanifanya nipende kusikiliza mpira kupitia TBC TAIFA na kutokwenda kuangalia kupitia AZAM TVHahahahha.. hatari sana yule mtu
Na siku zote hii tunaiita scorpion flying header kick! One mistake one hundred goals.Huyu jamaa amekuwa maarufu sana kwa misemo mbalimbali na namna ya kipekee ya uchambuzi wa mpira hasa magoli na vionjo ndani ya uwanja, napenda sana maneno yake na naamini kila mmoja anapenda.
Nimeona nifungue uzi maalum kwaajili ya misemo mbalimbal kt uchambuzi wake wa kabumbu.. karibuni