Special thread: Misemo ya Mwl.Kashasha

Special thread: Misemo ya Mwl.Kashasha

kombaME

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2015
Posts
2,115
Reaction score
2,818
Huyu jamaa amekuwa maarufu sana kwa misemo mbalimbali na namna ya kipekee ya uchambuzi wa mpira hasa magoli na vionjo ndani ya uwanja, napenda sana maneno yake na naamini kila mmoja anapenda.

Nimeona nifungue uzi maalum kwaajili ya misemo mbalimbal kt uchambuzi wake wa kabumbu.. karibuni
 
Na siku zote hii tunaiita scorpion flying header kick! One mistake one hundred goals.
 
Aliipiga katika impossible angle na kumuacha golikipa asijue la kufanya....na hii ilitokana na mabeki wa yanga kushindwa kuupress ule mpira na kumuacha shiza kichuya kuuscruuu mpira kuanzia left wing na kuingia nao katika eneo la eighteen yard!
Kwako Jesse John
 
Screenshot_2018-03-06-13-14-03.png
 
Asee zileteeni nying nying maana daah huyu jamaa raha sana
 
JJ; Mwalimu kashasha unaliongeleaje goli la Pogba...

Kashasha; aah kiukwel Goli la pogba ni dizain ya magoli ya namna yake kimpira tunaita Fundamental Syphoin yaan yale ambayo yamechezwa zaidi kimpira na watu waliotumia weledi mkubwa...

Kama utaangalia vyema Goli lilianzia kwa sanchez ambaye alidribble na kupiga pass kimo cha mbuzi inayooitwa Corresponding MatheTechician Dymophomian Intregal ikamfikia Hererra ambae yeye alitumiaa akili nyng na kutoa pass ya mwsho kwa ball technical inframuous ambapo alitoa chestmind assist kwa Pogba kitu kilichosababisha Pogba kufunga goli kwa kudokoa kama anatoweza mchuzi na ngulu ana papa wa kipemba au ng'onda wa maji baridi

Kwako jesse john
 
Back
Top Bottom