Yeah, memories ndo zinafanya unamkumbukaNaona hii ndo shida ya kuform urafiki na watu wa mitandaoni siku yoyote anaweza kukuacha solemba na vile hujui mengi kuhusu yeye basi unabaki kumkumbuka tu .
Dah kuna mtu namkumbuka kichizi .
Ah mie mbona ipo ila tatizo mie sio msimuliaji mzuri ila kuna warembo kama watatu humu nimekuwa na mahusiano nao na kuna mmoja mpaka leo natamani turudiane ila ndio hivyo kanichinjia bahariniTupatie story yako mzabzab
Maumivu tu dear tunauguzaEnhee
Tiririka
Jamani dear pole sanaMaumivu tu dear tunauguza
Ndio life uzuri mbususu zipo za kuenjoyPole sana
Sure thingYeah, memories ndo zinafanya unamkumbuka
Thank youJamani dear pole sana
Thank you
Mazoea yana tabu aisee , nilikuwa nimemzoea mno kha ,alikuwa muelewa balaa .
Pole sana, what happened??Thank you
Mazoea yana tabu aisee , nilikuwa nimemzoea mno kha ,alikuwa muelewa balaa .
Thank youPole sana, what happened??
Hakika dearAisee inahuzunisha
Mimi nilikuwa nimejipatia Mentor ambaye alinishauri kila kitu however alikuja kupotea ghafla .
Nikamtafuta kwa namba zake hapatikani duh ikabidi nizoee tu .
Kikubwa tukubaliane na hali watu wanakuja na kuondoka katika maisha yetu .