Special thread: Missing someone with special memories in your life

Special thread: Missing someone with special memories in your life

Naona hii ndo shida ya kuform urafiki na watu wa mitandaoni siku yoyote anaweza kukuacha solemba na vile hujui mengi kuhusu yeye basi unabaki kumkumbuka tu .

Dah kuna mtu namkumbuka kichizi .
Yeah, memories ndo zinafanya unamkumbuka
 
Aisee inahuzunisha
Mimi nilikuwa nimejipatia Mentor ambaye alinishauri kila kitu however alikuja kupotea ghafla .
Nikamtafuta kwa namba zake hapatikani duh ikabidi nizoee tu .

Kikubwa tukubaliane na hali watu wanakuja na kuondoka katika maisha yetu .
Hakika dear
 
Back
Top Bottom