Special thread: Missing someone with special memories in your life

Touching story, pole sana
 
Sasa huyo wa Eritrea ni wakawaida ?
Unatoka na pisi za maana wewe .
Kumbe unajua kuwa posi za ukanda ule ni pisi kali hatari....umenikumbushha siku nilikuwa nipo transit pale addis...bwana bwana acaha kabisa kule kwenye maduka ya duty free kila ukiingia duka hili unaona mrembo duka linalofuaga u aona mrembo mzuri zaidi kuliko duku lilipota...nyaani shida tupu
 
Ukanda huo ni balaaa
Ethiopia hapo kati kuna warembo balaa ..
Usiwatenge wa bongo napo kuna warembo hatari .
 
Sio mbaya
Mhm...are u sure. Yaani umeolewa na kidume chaku kumbe mumeo moyo wake upo kwa manzi wa form six huko walipendanaga....wee anakuweka ndani apate pakumwagia shahawa zake
 
Ukanda huo ni balaaa
Ethiopia hapo kati kuna warembo balaa ..
Usiwatenge wa bongo napo kuna warembo hatari .
Ah bongo kuna pisi balaaa....nikiingiaga mujini lazima nitue samaki samaki pale unakutana na pisi kali unabaki kufurahi kimoyo moyo....totoz hatari.
 
Mhm...are u sure. Yaani umeolewa na kidume chaku kumbe mumeo moyo wake upo kwa manzi wa form six huko walipendanaga....wee anakuweka ndani apate pakumwagia shahawa zake
I think you are misconcepting the whole issue, we are married yes but there are those good memories that will never end

Na those memories cannot break your home or your marriage
 
I think you are misconcepting the whole issue, we are married yes but there are those good memories that will never end

Na those memories cannot break your home or your marriage
Which ones? Zile za wale majamaa waliokupelekea moto vizuri🤣🤣🤣🤣
 
Which ones? Zile za wale majamaa waliokupelekea moto vizuri🤣🤣🤣🤣
Am sorry, sijui unechanganya mada

Kuna swali hapo juu umesema sio sawa mtu unakua kwa ndoa halafu you still have memories of another person
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…