Special thread: Missing someone with special memories in your life

Special thread: Missing someone with special memories in your life

Nimeshampotezea ila his sudden disappearance makes me sick, angekua amesafiri angenijulisha au hata kama angekua na jambo linalomfanya awe offline angenijulisha, ila his silence is not normal au labda mimi naoverthink
Mi nachoona Kama hajakuaga kapotea tu ghafla, hastahili haya mapendo,, mpotezee kweli, huyo ni asiejulikana
 
Ah mie mbona ipo ila tatizo mie sio msimuliaji mzuri ila kuna warembo kama watatu humu nimekuwa na mahusiano nao na kuna mmoja mpaka leo natamani turudiane ila ndio hivyo kanichinjia baharini
Au anaogopa comments zako mkuu?maana zimechangamka?
 
Huwa nawaza labda alipata tatizo maana akiwa offline au akisafiri huwa anaaga ndio maana its brings confussion
Au amefariki labda! Muombee tu ila usiitese nafsi yako kiasi hiki,, nachoamini ukimhold ex kwa mazuri au mabaya inakuzibia furaha na mafanikio ya maisha yako ya sasa, tangu nijue haya huwa sina muda na mtu anaeitwa ex, nakufuta nasonga mbele kama injili😅
 
Back
Top Bottom