Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,394
- 59,069
AlikufaVipi,alikupiga kitu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AlikufaVipi,alikupiga kitu?
Mie love story yangu ndefu alafu sio msimuliaji mzuriAnzisha Uzi🤣🤣
Dah.pole aiseeAlikufa
Hivyo hivyo tu tutajitahidi kuelewa!Mie love story yangu ndefu alafu sio msimuliaji mzuri
Ahsante SanaDah.pole aisee
Hapana bwana yupo humu sasa kwa vile namthamini ni bora nisiwekeHivyo hivyo tu tutajitahidi kuelewa!
Mi nachoona Kama hajakuaga kapotea tu ghafla, hastahili haya mapendo,, mpotezee kweli, huyo ni asiejulikanaNimeshampotezea ila his sudden disappearance makes me sick, angekua amesafiri angenijulisha au hata kama angekua na jambo linalomfanya awe offline angenijulisha, ila his silence is not normal au labda mimi naoverthink
Asante japo sijakuelewaDuh , sijui nilidhan haya angeyatamka yule ila duh.....hongera Noelia
Hayo maneno yako natamani , mtoto wa mtu awe anatamka kuhusu mimi.Asante japo sijakuelewa
Au anaogopa comments zako mkuu?maana zimechangamka?Ah mie mbona ipo ila tatizo mie sio msimuliaji mzuri ila kuna warembo kama watatu humu nimekuwa na mahusiano nao na kuna mmoja mpaka leo natamani turudiane ila ndio hivyo kanichinjia baharini
Dah we acha tu, asante sweetheart,,Mapenzi raha sana, hongera maa
Aisee pole , it must be devastating .Huwa nawaza labda alipata tatizo maana akiwa offline au akisafiri huwa anaaga ndio maana its brings confussion
Au amefariki labda! Muombee tu ila usiitese nafsi yako kiasi hiki,, nachoamini ukimhold ex kwa mazuri au mabaya inakuzibia furaha na mafanikio ya maisha yako ya sasa, tangu nijue haya huwa sina muda na mtu anaeitwa ex, nakufuta nasonga mbele kama injili😅Huwa nawaza labda alipata tatizo maana akiwa offline au akisafiri huwa anaaga ndio maana its brings confussion
Tutengeneze kumbukizi basi za ku missiana...
Poleni sana wenye kumbukizi...