Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 135,167
- 160,806
Tusitoke nje ya mada ya mleta thread...Sawa tutaona
Yatapata muongozo maana utautoa wewe…
Ni miss basi...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tusitoke nje ya mada ya mleta thread...Sawa tutaona
Yatapata muongozo maana utautoa wewe…
Ila wewe!ndio maana yule dada umesema hataki kurudi kwako😆😆😆Mie muumini wa tugegedane tuu...kuwapenda nyie viumbe ni map ya early grave
Ila unajua nini... Mambo yao waachie wenyewe...Mnoo na hawasikii, sema huu msemo wako hua nauona kwenye kila uzi😆😆
🤣🤣🤣🤣🤣Mjini kuna visu , mpaka huwa najiuliza nimekuja kufanya nini huku [emoji23]
Maisha ndo haya haya
Enjoy tu rafiki
Nina bahati mbaya mimi![emoji24]Hakuna.
Ah lakini unajua uzuri yule dada mbona nilimwambia kabisa kuwa mie sio one woman man na tulikuwa tunapeana ma raha na fantsys zetu kibao. Sio kana kwamba nilimdanganya. Nilikuwa muwazi mapema tuu. Sema ndio hivyo yeye alitaka kuolewa nikamwambia mhm olewa tuu mwenzio mambo badoIla wewe!ndio maana yule dada umesema hataki kurudi kwako😆😆😆
🤣🤣🤣Nina bahati mbaya mimi![emoji24]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nina bahati mbaya mimi![emoji24]
Yani we acha tu, nimejivua bukta kabisa yna! Ila huenda kuwa mvumilivu kutasaidia.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sidanganyiki[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umeshapata habari njema lakini😂😂Yani we acha tu, nimejivua bukta kabisa yna! Ila huenda kuwa mvumilivu kutasaidia.
Kama ulimwambia ukweli hapo sawa,ameamua mwenyewe kuzika au kusafirisha...kwa jinsi ulivyofree humu mtu inabidi akuelewa sanaAh lakini unajua uzuri yule dada mbona nilimwambia kabisa kuwa mie sio one woman man na tulikuwa tunapeana ma raha na fantsys zetu kibao. Sio kana kwamba nilimdanganya. Nilikuwa muwazi mapema tuu. Sema ndio hivyo yeye alitaka kuolewa nikamwambia mhm olewa tuu mwenzio mambo bado
Hivi inakuwaje namna hii! Hapana sikubali...[emoji24][emoji24][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa nakumisije na nalala na kuamka nawe kila siku. Hapa natamani hata upate kasafari ili nikumiss.
Hahaha okay let’s do that…Ahsante... Missing you too... lets make memories bila miokono...