Special thread: Missing someone with special memories in your life

Ila wewe!ndio maana yule dada umesema hataki kurudi kwako😆😆😆
Ah lakini unajua uzuri yule dada mbona nilimwambia kabisa kuwa mie sio one woman man na tulikuwa tunapeana ma raha na fantsys zetu kibao. Sio kana kwamba nilimdanganya. Nilikuwa muwazi mapema tuu. Sema ndio hivyo yeye alitaka kuolewa nikamwambia mhm olewa tuu mwenzio mambo bado
 
Kama ulimwambia ukweli hapo sawa,ameamua mwenyewe kuzika au kusafirisha...kwa jinsi ulivyofree humu mtu inabidi akuelewa sana
 
Back
Top Bottom