Special thread: Missing someone with special memories in your life

Basi bana miaka hiyo ya ujanani nilitokewa kupendwa na kijana Sunday😂😂😂Sundaaay....🤣🤣🤣🤣 Ila nimefurahi kuongea nae jioni ya leo..tukacheka saanaaa🤗
 
Sheeda popote ulipo nakukumbuka saana ilikuwa 2014 nimetoka kula kichapo cha mapenzi kutoka demu wangu wa kwanza
Nilitoroka nyumbani na kukimbilia morogoro kupunguza machungu

Mungu si athumani akanikutanisha na mtoto sheeda tulianza kama masihara ila tukajikuta tumezama mimi ni yule nilikuwa napita asubuhi na jion karibu na ofisi yenu nikiwa naenda kibaruani na kurudi gheto

Kutokana na upole niliokuwa nao hukusita kumtuma dogo kmng kuwa umetokea kunipenda sikuleta ugumu kutokana ulikuwa moyoni pia na nilishindwa kukuingia kutokana na hadhi ya familia yenu ukawa umenirahishishia

Nilikupa story ya maumivu yangu na kwa kweli ulifeel vibaya sana ukaniahidi utaniponya majeraha,ulitimiza ahadi yako sheeda mpaka naondoka ni kwasababu wazazi wako walikuhamisha na kuminya mawasiliano popote ulipo sheeda mimi ni yule ulipenda kuniita wifi jina ambalo tulikuwa tunaitana na shemeji angu

Sijui ulipo na pia najua sio mtu wamitandao hupendi showoff popote ulipo nakutakia maisha mema moyo wangu haupo kwako tena ila umeniachia kumbukumbu ambazo nashindwa zifuta na wema ulionifanyia
 
Pole sana, Sheeda atakua anakukumbuka pia labda tu hana namna ya kukupata
 
Back
Top Bottom