Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Mara zote ukifika usiku huo napunguza mwanga wa simu yangu, ila nikiwa kwenye uzi huu ni lazima niongeze mwanga mpaka mwisho ili nione vya utaaaaam.
Huu uzi huwez ingia simu ikiwa na mwanga mdogo

Siku nikiwa sina kazi huwa natumia simu sana,najikuta hadi macho yanaanza kuniuma,lakin nikiingia kwenye uzi huu lazima niongeze mwanga na wakat huo macho yananiuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…