Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

yule mcheza mpira wa zamani sijui ndio maladona, anasema alialikwa na pablo escobar gereza la Pablo wakacheza mpira, anakwambia alikuta pisi kali ambazo hajawahi kuziona maishani mwake
 
yule mcheza mpira wa zamani sijui ndio maladona, anasema alialikwa na pablo escobar gereza la Pablo wakacheza mpira, anakwambia alikuta pisi kali ambazo hajawahi kuziona maishani mwake
Nimmejaribu kuwaza maisha aliyoishi yule kiumbe hadi sasa sijui kama yupo yani

kama yupo niambiwe ni nani nione mabalaa yake,ila kwa pablo nmemvulia kofia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…