Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Wakati natoka zangu job leo nimevurugwa vibaya nikaona isiwe kesi ngoja niingie zangu Coco beach nipunge upepo kwanza kufika pale nikapaki chuma VW Tourage nashuka nalock mlango mara paap naona mtoto ananichekea na kuonesha ile alama ya Chadema nikajua huyu anataka katiba mpya ngoja nikaongee nae
 
Huyu Ana mv

Ova
 
Mamaaamae wewe jamaa ni muongo knoma, huyo demu hapo ni wa Western Africa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…