Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Mie mbona kanipiga swaga za am engaged πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”

kamba tu izo, Anatabia za kujifanya na hadhi zisikushulishe kabisa, hua anapima li apate kujua status yako.
Napia inawezekana kapata danga la uhakika kwa muda huu mana ndivo wanavokua wakipta danga zito hua na pozi nyingi kwa mda mpaka likiwatoka ndio utaona wanavyohaha mitandaoni.
 
Nimependa neno la mwisho anataka katiba mpya mpatie tu hakuna namna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…