Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Naomba kuuliza tofauti kati ya warembo na wakaa uchi,mana kichwa cha habari na vinavyopostiwa ni tofauti
 
Shida muda wao wa kutamba ni mfupi sana na asipoutumia vizuri basi huko mbele ni shida. Akina Wema Sepetu wako wapi? Si juzi tu hapa alikuwa anapangishiwa mijengo Masaki na kuendesha maRR mapya?

wengi wao wanashindwa kuzitumia fursa, huhisi maisha yatakua ndio vile vile tu hayatabadilika, hawajui kama pisi kali kila kukicha zinazaliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…