Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Huu uzi naupenda balaa yaani kuninyima haki ya kureply humu ni zaidi ya kuninyima hitaji langu la msingi hapa duniani

Moderators wamenifanya niachane na acc yangu kwasababu ya kunibania kwenye uzi huu,najihis amani sasa
 

Attachments

  • FB_IMG_1669437204756.jpg
    54.7 KB · Views: 42
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…