Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Kumla kada wa hili lichama inataka moyo aisee. Maana unaweza ukawa katikati ya show ukakumbuka tozo au haya mabehewa ya Escape from Sobibor ukapatwa na hasira ukaahirisha zoezi [emoji16][emoji16][emoji16]

Dah kiupande wangu mizigo ya Chama hicho hua nina usongo nao kinoma. Pambano hua nalikamia hasa kupunguza joto langu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…