Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Daah...hiyo picha ya pili huyo mtoto alivyo na ngozi nzuri..laini na nyororo unaweza ukamtafuna mwili mzima.

Hata hapa JF kuna mdada yuko hivyohivyo..ila tu sipendi kumwita wala kupost pic yake.
Huyo ni mwimbaji wa Maasai gospel kutoka Kenya anaitwa LYDIA NASHAMI... Hebu tafuta wimbo wake Youtube unaitwa EMAYIANA (Amebarikiwa) au mwingine unaitwa TONYUA (Vumilia), utamwona jinsi alivyo kama kwenye hiyo picha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…