Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Bantu Lady nimekaa ng'ambo pale nasubiria mama😁😁😁 fanya tu namna.

Huwa nasema picha za dada zetu zitatumwa humu, limetokea kwako😁
Wa vipaji kumbe unasubiria kweli? πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ ningekuwa nimeituma mimi ningejutag. Sema aliyetuma ID yake huwa nainganya na ID zingine 3. Alinitag tu, kuja kuona picha yangu 🀣🀣🀣🀣🀣.
Next time nitatupia mimi na nitakutag wa vipaji usijali kabisa.
 
Tatizo huwezi tupia kama alivyotupia😁😁😁😁, hem fanya maarifa basi mama mwenye sambwanda lake.😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…