Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

inasikitisha sana
Jana nimekuta ugomvi, Mama kamkaba mtoto wa kiume wa mwenzake kisa dogo kampiga binti wa huyo mama mkabaji, na chanzo cha kumpiga huyo mtoto ni kuwa alimkuta huyo mtoto wa kike akiliwa na mtoto mwenzake.

Mama wa mtoto akampiga hiyo dogo wa kiume na kumwambia hata akimkuta mtoto wake anabakwa amuache hamhusu.
Nilikoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…