Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Kuna wanaume/wanawake wanatumia picha zake - sio Yeye. Mwenyewe yupo pale Kijitonyama ana Duka lake la nguo. Amemaliza chuo mwaka juzi . Ni binti anaejieshimu sana

Ni kweli mkuu. Kumbe huwa ana-model nguo zake mwenyewe anazouza.

Wengine hata hivyo watakwambia kuwa pisi hizi nyingi zina hivi vibiashara kama chambo tu...na kama una pesa zako unauziwa tu 😁





 
hii pisi nikionaga nacheka tuu.. πŸ˜…πŸ˜…
kipindi inaishi mwanzaa kama mtu hakutumia fursa asa hivi analo.. nakumbuka nililipa bili ya pia za kutosha ili tu aje mezani tuyajengeee.. dahπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… hawa wadada hawaaa
 
Dau lake likoje maana kuna siku niliona kamepiga picha na mayele
πŸ˜…πŸ˜… mayele latest baada ya kuja dar es salaam.. sie tulianza nae akiwa mshambaa mzeee ... jifunzeni kuwa mnavumbua vipaji kabla havijapanda bei πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… sasa hivi lazima akupasue huku na kei imetumika sana kuliko kipindi kile
 
Yuke rafiki yake mwenye tako na his simuoni siku hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…