Niliwahi kua na Mwanamke anafanana hivi...macho, shingo,weupe,lips hadi nywele kaziachia hivyo. Aisee ni moja kati ya kumbukumbu bomba maishani mwangu. Hadi nilitoka kitambi ajili yake[emoji28][emoji28][emoji28] Ila furaha inavyokua kubwa ndio huzuni inakaribia kukufikia[emoji17]