Kazi nzuri sana hii!!
Unakuja huku kufanyaje mkuu😁Simple but sure
Wakuu kueni serious basi,sasa huyu ana urembo gani?
Sawa sawa. Huyu nimeona picha zake kibao huko juu ila kuna visu kibao huyu mbona haoni ndani. Sema ni vile uzuri wa kitu upo machon pa muangaliaji. Na pia inawezekana kwa nyie wanaume mwanamke mzuri kuna namna mnavyoona kwa macho yenu tofauti ni sisi wadada wenzaoNikisema pisi kali naongelea hizi hapa mkuu na hii picha nafuta soon sitoi number
SureSawa sawa. Huyu nimeona picha zake kibao huko juu ila kuna visu kibao huyu mbona haoni ndani. Sema ni vile uzuri wa kitu upo machon pa muangaliaji. Na pia inawezekana kwa nyie wanaume mwanamke mzuri kuna namna mnavyoona kwa macho yenu tofauti ni sisi wadada wenzao
Mimi kwa mwanamke napenda kucha tu kucha tuSawa sawa. Huyu nimeona picha zake kibao huko juu ila kuna visu kibao huyu mbona haoni ndani. Sema ni vile uzuri wa kitu upo machon pa muangaliaji. Na pia inawezekana kwa nyie wanaume mwanamke mzuri kuna namna mnavyoona kwa macho yenu tofauti ni sisi wadada wenzao
Sawa sawa.Mimi kwa mwanamke napenda kucha tu kucha tu