Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,869
- 32,712
Safi kabisaN
Ilikua nalo dude kama hili,Wala hutumii nguvu,kidogo tu lishachemka,
Na uzuri wa mavitu kama hata,wengi hawayamaindi,Kwa hiyo ukilikamatia lazima likugande unakula tu,hata kama SI peke Yako basi wachache,tofauti na vimodo
😂😂😂 Wala hata sio mimi huyoMkuu huyu utakuwa ni wewe mwenyewe type yako ulivyo bila shaka [emoji39][emoji39]
Hapo HUO mkao,lakini namba Moja Toka juu ndo reachable sana,na ndiyo haramu.cc.bro anasbo kwenye faili lake.mkao unatumika sana kula laini namba Moja.
NI shidaaaa unaweza ukahonga Figo zote mbiliHii ya moto sana 🔥🔥🔥🔥🔥🔥😋
HaaahaaaVitu vyangu dizaini hii😋😋