Si mchezo ni balaa π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯
Noma sanahii ni ya Rwanda naijui in out alafu nashangaa kuna manzi Instagram anatumia pic zake na anajifanya yeye ndio hiyo pisi
hiyo pisi iliwai kuwa na boyfriend Rwanda dogo akawa anapiga kitabu alafu hana hela hiyo manzi ikamtosa
dogo aliyeachwa akakomaa na book akaenda kusomea urubani Qatar baada ya kumaliza akajiunga na jeshi la Rwanda mara ya mwisho nilikutana nae Rubavu alikuwa na Nyota mbili alafu bado anamuelewa huyo manzi kichizi
Hapa sichepuki
Hapana siyo mimi π€£π€£π€£π€£π€£ ukikaidi utapigwa2Bantu Lady huyu ni wewe bila shakaView attachment 2699232
Hapana siyo mimi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ukikaidi utapigwa2
Nafsi yangu inaniambia nmepatiaHapana siyo mimi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ukikaidi utapigwa2
Iko huko mtu alishaipost muda kidogo. Ndipo nilipoujua huu uzi, alinitag π π π πWewe ni yupi
Iko huko mtu alishaipost muda kidogo. Ndipo nilipoujua huu uzi, alinitag [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]