National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,173
- 56,213
Maneno yako tu, hawana bei namba D hizo.. nilishapiga kwa elefu tano tu .. ila nilikuwa na maneno mengi kweli kweli hadi kuonewa huruma na kupewa π π π π π ...Hahaa unafukuzia mbali tu.
Roughly atakua anauza kwa ngapi huyu
πππππ... Rahaaa hizi
ππππ Asanteee.. sanaa
alafu hizi nguzo zao zina manua makario ni fashion au inakuwaje ? naona sasa hivi wadada wa Dar es Salaama wana zivaa sana