G
Mmh Nina wasiwasi mbona km hakuna uwiano ππ€£
Hata kama umeoficja sura ila naijua hii Pisi. Anaitwa P anaishi Mb..... Mamfahamu huyu na nina historia naye.
Bado hawajafikia wale wengine hata nusu
MmhBado hawajafikia wale wengine hata nusu
Kweli kabisa wale ni Asass yoghurt grade 1.Mmh
π€£π€£Huna lolote
Hahaaaaa, ukinimention tu natokea. Ngoja nikurudishie picha yako japo sio huyo na haishi Mbeya huyu.Kiungopunda rudisha picha ya ule mzigo wangu P wa Mbeya mkuu. Niliufaidi sana huo hata kama umeficha sura yake. Namfahamu huyo.
Daah wanawake