Ila ujue kuna watu wana roho ngumu wanakula hivi hivi kama lilivyo! 🤦🏾🤦🏾🤦🏾Another side of the coin, tuzime taa please!!
View attachment 2882838
Kwani wewe ni mwanaume?!Baba nakulaaa!!!!🥺🥺
MwanamkeKwani wewe ni mwanaume?!
Hii picha inakukumbusha kuwa makini mkuuFuta hii picha chalii inaondoa radha
Umejisikiaje? 🤣🤣Baba nakulaaa!!!!🥺🥺
Nilikua nakula chakula chenye majimaji, umenikata appetiteUmejisikiaje? 🤣🤣
Mkifanya yenu mpate taswira kuwa mambo sio poa kila sehemu.
Pole sana kukuharibia appetite, huu ni ukurutu ++Nilikua nakula chakula chenye majimaji, umenikata appetite
Huo ni ugonjwa gani kwani?
Astaghfirullah!! Ukurutu si unasababishwa kwa kutooga??Pole sana kukuharibia appetite, huu ni ukurutu ++
Umekushangaza sana? Nadhani unaweza kuwa ugonjwa wa ngozi tu kama kawaida au matokeo ya upungufu wa kinga mwilini.Astaghfirullah!! Ukurutu si unasababishwa kwa kutooga??
Sasa huyo haogi ama ni ugonjwa wa ngono hujui jina?
Sasa unakula vipi wakati wewe mwenyewe mwanamke!? Au unakubali mliwe pamoja?? 🤦🏾🤦🏾🤦🏾Mwanamke
Yeah! Hapo umenena vyema itakua ana umeme.Umekushangaza sana? Nadhani unaweza kuwa ugonjwa wa ngozi tu kama kawaida au matokeo ya upungufu wa kinga mwilini.
Umeelewa vibaya! Wakati naview hiyo picture nilikua nakula chakula.Sasa unakula vipi wakati wewe mwenyewe mwanamke!? Au unakubali mliwe pamoja?? 🤦🏾🤦🏾🤦🏾
Sad sana!Yeah! Hapo umenena vyema itakua ana umeme.