Aiseeee. Hivi kuna pisi kama hii alafu kuna wanaume wanasukumiziwa moto na wanaume wenzake. Hii hata ikikupa UKIMWI sir God atasema hapa kweli mwanangu alizidiwa.
Kuna mmoja Afisa Uhamiaji pale Morogoro huwa anakaguaga magari ya kwenda nje ya Tanzania anakaa kwenye check point ya Pale Sangasanga au Mindu kama sikosei. Dah, yule mwanamke si mchezo.