Huyu CurvyCurly Chris ni Chuma ya Hatari sana
Mod wanauvutia tu kasi ππππHuu uzi hautafika desemba wakuu [emoji16][emoji16]
Utakuja mwnigineMod wanauvutia tu kasi [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Kwaiyo manshindana nguvu na mod πππUtakuja mwnigine
Kumbuka walisha futa kama tatu hivi
Shaka ondoa
Ni kweli aiseee,picha za uswahilin zipo poaNawakubali sana wadau wote mliopost vitu local. Wadada wanaopaka lotion za jero jero wanavutia sana[emoji108]
Wewe tayari wangapi katika hao uliowataja?Kufa huku haujala, mzungu, mkorea, mtailand, brazil, indian, arabian ni makosa makubwa [emoji2][emoji2][emoji2]