Baada ya muda mrefu leo nimeona niingie tena huku
Taja jina la kiwanja!
Anaonekana ana ka "K" fulani hivi very amazing, kanavuta kwa ndani kama Suction pump!!
Kama kiwanja hujakisoma basi kwenye tasnia bado sanaTaja jina la kiwanja!
Chifu, nimetembea viwanja vingi sana, ndani na nje ya nchi hadi sasa viwanja kibao vya nje vimejaa kichwani, nimekuwa sikumbuki viwanja vya nchini kwa kuangalia picha!!Kama kiwanja hujakisoma basi kwenye tasnia bado sana
alafu kavaaa kikukuTaja jina la kiwanja!
Hapa akili imeshavurugika!!alafu kavaaa kikuku
Nimewawakilisha sana, ndani na nje ya nchi, nitajie jina la kiwanja tafadhali!Kama kiwanja hujakisoma basi kwenye tasnia bado sana
Kando ya mto(Riverside)Chifu, nimetembea viwanja vingi sana, ndani na nje ya nchi hadi sasa viwanja kibao vya nje vimejaa kichwani, nimekuwa sikumbuki viwanja vya nchini kwa kuangalia picha!!