Swahili AI
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 10,174
- 89,364
Huyu usipomfanyia usaili kwenye dirisha dogo(P diddy) lazima akuone mshamba!!
Tuache utani, huyu mrembo ana rangi kali balaa. Kwamimi Caucasian nikipata nae watoto huyu watakuwa Half cast ile yenyewe!!
Usikute wahuni Afrika wameshai-exploit kitambo sana!!