Swahili AI
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 16,654
- 127,423
Kuipata shughuli mkuuEeeh mkuu naomba nipe link ya account yake kama unaijua alikuwa anafuga ng'ombe kwenye picha moja niliyoiona
Kwahiyo? Ila wenyeviti wa vijiji mna ishu zenu ndogondogo za ajabu.Uzuri wa mtu uko machoni Kwa mtu anayemtazama,hizi picha zote ni vipaumbele vya hao waliozipost,unachokipenda ww huenda mm niskipende?
Ya Mungu mengi
Nenda instagram andika Kisitu kiraboHuyu dada namtafuta sana insta ni wa Botswana nitagie account yake
Shukran mkuuuNenda instagram andika Kisitu kirabo
Pamoja mkuuShukran mkuuu
Daah bonge ya pisi kubabake