Nitampata wapi huyu?πππ
Katika vitu huwa nazingatia ni vidole vya mikono na miguu. They speak alot.
Eh bhana ww upo kama Mm, ongezea hapo na kucha yn kama kucha zipo kama tetemeko aisee unipitie kushotoKatika vitu huwa nazingatia ni vidole vya mikono na miguu. They speak alot.
Kaka ushukuriwe sana