Ila kuhonga ni kipaji wazee.....kuwa na pesa sio sababu ya kuwala hawa warembo.
Yaani juzi kuna pisi ilikuwa na shida ya laki 3....na ikawa imekubali kuingia adi Lodge na ikawa inataka cash tuendele na shughuli.
Niliwaza mara tatu nikasema no....shika buku 10 hii ya usumbufu,nikalala mbele,kila nikiwaza najisemea kuhonga ni kipaji au ulevi mimi kumpa dem laki 3 for one night no no nooo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.