Swahili AI
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 10,174
- 89,364
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi hata elfu 50 tu ni shughuli ng'wanawane! Ukimaliza yaani hata ulichopata hakuna na unaishia kujiona boya tu. Ila kama binti ni mshikaji wangu tunaelewana hata milioni moja kama ipo nampa tu as long as siyo kwa huu mtindo wa kuuziana!Ila kuhonga ni kipaji wazee.....kuwa na pesa sio sababu ya kuwala hawa warembo.
Yaani juzi kuna pisi ilikuwa na shida ya laki 3....na ikawa imekubali kuingia adi Lodge na ikawa inataka cash tuendele na shughuli.
Niliwaza mara tatu nikasema no....shika buku 10 hii ya usumbufu,nikalala mbele,kila nikiwaza najisemea kuhonga ni kipaji au ulevi mimi kumpa dem laki 3 for one night no no nooo
Afu yule malaya akaniambia nkishamt*mba tukitoka tu Lodge tusitafutane tena,apo ndo aliponivunja nguvu.......mmmh aiseee nkasema potelea mbali,nkavaa zangu mana nilikuwa nishavua baazi ya nguo,nikampa ya buku 10 nkasepa adi leo hajanitafutaMimi hata elfu 50 ni shughuli ng'wanawane! Ukimaliza yaani hata ulichopata hakuna na unaishia kujiona boya tu. Ila kama binti ni mshikaji wangu tunaelewana hata milioni moja kama ipo nampa tu as long as siyo kwa huu mtindo wa kuuziana!
Kununua mbususu inataka moyo aisee! 😄🏃🏿♂️
MrsPablo1Ila kuhonga ni kipaji wazee.....kuwa na pesa sio sababu ya kuwala hawa warembo.
Yaani juzi kuna pisi ilikuwa na shida ya laki 3....na ikawa imekubali kuingia adi Lodge na ikawa inataka cash tuendele na shughuli.
Niliwaza mara tatu nikasema no....shika buku 10 hii ya usumbufu,nikalala mbele,kila nikiwaza najisemea kuhonga ni kipaji au ulevi mimi kumpa dem laki 3 for one night no no nooo
Huna pesa bro ungekuwa billionaire ungefuta hii kauliAfu yule malaya akaniambia nkishamt*mba tukitoka tu Lodge tusitafutane tena,apo ndo aliponivunja nguvu.......mmmh aiseee nkasema potelea mbali,nkavaa zangu mana nilikuwa nishavua baazi ya nguo,nikampa ya buku 10 nkasepa adi leo hajanitafuta
ILA KUNA MIAMBA INAONGA ADI MAGARI KWA USIKU MMOJA....NDO MANA NASEMA KUONGA NI KIPAJI...ACHA NIONEKANE BAHILI