Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe ni mwambaaIla kuhonga ni kipaji wazee.....kuwa na pesa sio sababu ya kuwala hawa warembo.
Yaani juzi kuna pisi ilikuwa na shida ya laki 3....na ikawa imekubali kuingia adi Lodge na ikawa inataka cash tuendele na shughuli.
Niliwaza mara tatu nikasema no....shika buku 10 hii ya usumbufu,nikalala mbele,kila nikiwaza najisemea kuhonga ni kipaji au ulevi mimi kumpa dem laki 3 for one night no no nooo