M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 2,818
- 8,465
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikipata kama huyu nitatulia. Ila na yeye atulie
Dogo wa shamba nae huwa yumo yumo
Kama ni demu wang hyo laki 3 naweza kumpa lakin demu wa kula tu kwa siku moja hapana hata awe mzur vpIla kuhonga ni kipaji wazee.....kuwa na pesa sio sababu ya kuwala hawa warembo.
Yaani juzi kuna pisi ilikuwa na shida ya laki 3....na ikawa imekubali kuingia adi Lodge na ikawa inataka cash tuendele na shughuli.
Niliwaza mara tatu nikasema no....shika buku 10 hii ya usumbufu,nikalala mbele,kila nikiwaza najisemea kuhonga ni kipaji au ulevi mimi kumpa dem laki 3 for one night no no nooo
Mwanaume mbahili nani anamtaka
Eeeh una mwili mtamu ☺️😍😍😍 mmeo anakojoa pazuri asee
We sio mimi huyo, mie sina nyama inabidi nianze kula sasa maana naona watu mnapenda minyama nyamaEeeh una mwili mtamu ☺️😍😍😍 mmeo anakojoa pazuri asee
Dah nikiambiwa nitoe ng'ombe Saba hapa natoa bila kipingamizi.
Wanawake wazuri hampendagi sifa eeeehWe sio mimi huyo, mie sina nyama inabidi nianze kula sasa maana naona watu mnapenda minyama nyama
Sijajua maana mie nipo zangu kawaida sina T3 😂Wanawake wazuri hampendagi sifa eeeeh
😆😆😆 Uongooo!Sijajua maana mie nipo zangu kawaida sina T3 😂