Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

20241223_070557.jpg
 
Ila kuhonga ni kipaji wazee.....kuwa na pesa sio sababu ya kuwala hawa warembo.

Yaani juzi kuna pisi ilikuwa na shida ya laki 3....na ikawa imekubali kuingia adi Lodge na ikawa inataka cash tuendele na shughuli.

Niliwaza mara tatu nikasema no....shika buku 10 hii ya usumbufu,nikalala mbele,kila nikiwaza najisemea kuhonga ni kipaji au ulevi mimi kumpa dem laki 3 for one night no no nooo
Kama ni demu wang hyo laki 3 naweza kumpa lakin demu wa kula tu kwa siku moja hapana hata awe mzur vp
 
Back
Top Bottom