raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Ebhanaeeeeee π
Duuh! ulimchoma laleq, Itakua ndiyo wale ambao wakiona mvua wanakimbia kuliko Husein bolt - kisa tu make up itafutika ππππΎππΎKuna siku nimei post pisi moja whats app kui wish hbd kwa picha ambayo mimi ilinivutia isiyo na filter, aisee ili mind hadi nikabadili pichaπ