Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

hilo kalio sio la kawaida.

hata kama halijaongezwa huo unene una hasara kuliko faida.
Siyo kweli. Actually fat deposits matakoni na mapajani zina faida kubwa kwa mwanamke kuliko hasara. Huwa zinahitajika sana katika brain na central nervous system development ya fetus. Ndiyo maana wanawake wenye matako na mapaja makubwa huzaa watoto ambao wana ubongo ulioimarika vizuri zaidi wakilinganishwa na wa hivi Vimbaumbau vyenu japo kuna supplements za Omega 3 ambazo vinaweza kutumia.

Unene wa hatari ni huo wa dada zako wa hiyo mikoa yenu huko. Vimiguu na vipaja vyembamba, tako hakuna halafu kifua na kitambi hichoo - fat deposits zote zimezunguka viungo vyote muhimu.

Jielimishe zaidi kuhusu hii topic na usikariri tu eti ukimbaumbau ni afya na unene ni kinyume chake. Kuna fine prints dogo.

➑️➑️➑️ Conclusion: Tako na mipaja iheshimiwe. Na mwanamke mwenye umbo namba 8 aheshimiwe zaidi maana fat deposits zake ziko sehemu sahihi kiasi kwamba zina faida kubwa kuliko hasara...and such women tend to be healthier than your sick-looking vimbaumbaus 😁

 
Nilimwambia huyo kua hakuna mwanamke mnene chini haijalishi ana mafuta kiasi gani, unene wa mwanamke upo juu tumbo, mikono.
 
Babu upo sawa, lakini;

1. Ni kiasi gani ndo sahihi?

2. Dada zangu wa kilimanjaro wamekukosea nini?

3. Wembamba hawana muonekano wa kuumwa, ni mapokeo tu ya kijamii.
 
Babu upo sawa, lakini;

1. Ni kiasi gani ndo sahihi?

2. Dada zangu wa kilimanjaro wamekukosea nini?

3. Wembamba hawana muonekano wa kuumwa, ni mapokeo tu ya kijamii.

Dada zako ni majanga mkuu japo sasa hivi mambo yanabadilika sababu ya intermarriages. Fat distribution ya hivi ni hatari sana maana viungo vyote - moyo, maini, figo n.k vyote vinakuwa hatarini tofauti sana na pisi yenye umbo namba nane ambayo mafuta yote yapo matakoni na kwenye mipaja πŸ˜πŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈ

 
Kuna siku ulinitolea kauli mbaya sababu ya mwili wangu na vile nilisifia wadada wembamba. Mimi sivutiwi kabisa na unene awe ke ama me ila katu siwezi kumsema vibaya mtu kisa ni mnene. Mshamba kaona mwanamke asie mnene ndio mwanamke bora kwake wala usimbeze, ni kama wewe unavyopenda wanawake mabonge mtu akikubeza huwezi kujiskia vizuri kama ulivyoandika hapo. Tuishi humo, kila mtu abakie na anachopenda bila kuwatolea maneno ya kuudhi wengine.
 
Ndio maana nakupenda.
 
Kweli kila mtu na anachokipenda
Najishangaa sana kuchukia wembamba, mtu akiniambia nimepungua nitashinda na mawazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…