Swahili AI
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 10,174
- 89,364
Hio haipo hio siku ukija kumtolea ndio hutoa vyote kwa pamojaMimi nakula hela sitoi utamu
Nice adviceHio haipo hio siku ukija kumtolea ndio hutoa vyote kwa pamoja
Eee kuwa makini hakuna hela za bure bure mjini ukimuona mtu fursa jua wewe huenda ni fursa kubwa sana kwakeNice advice
Nmependa
Mambo ya sauti za busara 2025
Hakika📌Eee kuwa makini hakuna hela za bure bure mjini ukimuona mtu fursa jua wewe huenda ni fursa kubwa sana kwake